// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LEWANDOWSKI APIGA MBILI, BAYERN YASHINDA 3-1 UGENINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LEWANDOWSKI APIGA MBILI, BAYERN YASHINDA 3-1 UGENINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, December 03, 2016

    LEWANDOWSKI APIGA MBILI, BAYERN YASHINDA 3-1 UGENINI

    Nyota wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za nane na 90 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji Mainz jana usiku kwenye mchezo wa Bundesliga. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Arjen Robben dakika ya 21, wakati la wenyeji lilifungwa na Jhon Cordoba dakika ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA MBILI, BAYERN YASHINDA 3-1 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top