• HABARI MPYA

        Wednesday, December 07, 2016

        LEWANDOWSKI AIBEBA BAYERN MUNICH 16 BORA LIGI YA MABINGWA

        Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Bayern Munich katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Atletico Madrid usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya. Pamoja na kufungwa, Atletico imeongoza kundi kwa pointi zake 15, ikifuatiwa na Bayern pointi 12 na zote zinafuzu hatua ya mtoano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LEWANDOWSKI AIBEBA BAYERN MUNICH 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry