Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ akimiliki mpira pembeni ya winga Enock Atta Agyei kutoka Ghana wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Maji Maji Jumamosi wiki hii mjini Songea
Beki wa kati wa Azam FC, Yakubu Mohammed, akimzuia winga Enock Atta Agyei
Beki wa kati wa Azam FC, Aggrey Morris, akiruka juu kwenye mazoezi ya viungo ya kuruka koni.
Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi tofauti ya viungo
Kipa wa Azam FC, Mwadini Ally, akiruka juu wakati wa mazoezi ya magolipa chini ya Kocha wa Makipa, Jose Garcia
Kikosi cha Azam kinatarajiwa kuanza safari ya Songea mkoani Ruvuma Alfajiri ya kesho
High drama as Jasprit Bumrah is sent to hospital for scans on mystery
injury - after Aussie young gun Sam Konstas was MOCKED by Indian players
-
Fireworks were guaranteed when Aussie Sam Konstas took on the might of
Jasprit Bumrah and Virat Kohli - and it was the Indian superstars who had
the last l...
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment