// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARDA TURAN AGONGA HAT TRICK BARCA YAUA 4-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARDA TURAN AGONGA HAT TRICK BARCA YAUA 4-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, December 07, 2016

        ARDA TURAN AGONGA HAT TRICK BARCA YAUA 4-0

        Kutoka kushoto; Andres Iniesta, Lionel Messi na Paco Alcacer wakimpongeza mchezaji mwenye umri wa miaka 29, Arda Turan (katikati) baada ya kufunga mabao matatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la Barca lilifungwa na Messi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ARDA TURAN AGONGA HAT TRICK BARCA YAUA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry