Wachezaji wa Yanga wakimpongeza kiungo Haruna Niyonzima (katikati kulia) baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 56 wakiilaza 2-1 Ruvu Shooting jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Ruvu Shooting walitangulia kwa bao la Abrahman Mussa dakika ya saba kabla ya Simon Msuva kuisawazishia Yanga dakika ya 32 akimalizia pasi ya Nahodha Niyonzima
Simon Msuva akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Mao Bofu
Kiungo wa Ruvu, Said Madega (katikati) akipambana na washambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa (kulia) na Amissi Tambwe (kushoto)
Tambwe akimtoka Shaibu Nayopa wa Ruvu Shooting
Haruna Niyonzima (kushoto) akimtoka Mau Boffu
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa Ruvu, Renatus Kisase
Packers make curious move at quarterback with Jordan Love recovering from
injury before Eagles playoff game
-
One day after the Green Bay Packers removed Jordan Love from the injury
list, the team felt compelled to add another quarterback to the roster
ahead of Sun...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment