Mshambuliaji wa Chelsea, Victor Moses akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 51 wakiilaza 2-1 Tottenham Hotspur Uwanja wa Stamford Bridge, London. Christian Eriksen alianza kuwafungia wageni dakika ya 11, kabla ya Pedro kuisawazishia The Blues dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Five talking points from final round of Six Nations
-
Here's our round-up of the big talking points from the final round of
fixtures in the 2025 tournament.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment