Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga (katikati) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kocha mpya wa timu hiyo, Mzambia George Lwandamina leo makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam wakati wa mkutano wa kutambulisha wakuu wapya wa idara ya Ufundi ya klabu hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi mpya wa Ufundi, Mholanzi, Hans van der Pluijm aliyekuwa kocha mkuu awali
Hapa Lwandamina akisalimiana na Pluijm pembeni ya Sanga
Lwandamina akisalimiana na Pluijm pembeni makao makuu ya klabu leo
Lwandamina akisalimiana na Pluijm pembeni makao makuu ya klabu leo
Sanga akipiga makofi kufurahia wakati Lwandamina akisalimiana na Pluijm pembeni makao makuu ya klabu leo
Waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo leo makao makuu ya klabu
Former Jets coach Eric Mangini makes shock accusation against Aaron Rodgers
-
As a season of humiliation draws closer to an end for the Jets, one former
coach of the team believes the squad's most notable name has been trying to
lay ...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment