// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); URUGUAY YASHINDA 2-1 DHIDI YA ECUADOR KUFUZU KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE URUGUAY YASHINDA 2-1 DHIDI YA ECUADOR KUFUZU KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 11, 2016

    URUGUAY YASHINDA 2-1 DHIDI YA ECUADOR KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez (kulia) akipiga mpira mbele ya beki wa Ecuador, Juan Carlos katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini leo Uwanja wa Centenario mjini Montevideo,Uruguay. Uruguay imeshinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Sebastian Coates na Diego Rolan, huku la Ecuador likifungwa na Felipe Caicedo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: URUGUAY YASHINDA 2-1 DHIDI YA ECUADOR KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top