// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SANCHEZ APIGA MAWILI CHILE WAKIIBUTUA URUGUAY YA SUAREZ 3-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SANCHEZ APIGA MAWILI CHILE WAKIIBUTUA URUGUAY YA SUAREZ 3-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, November 17, 2016

    SANCHEZ APIGA MAWILI CHILE WAKIIBUTUA URUGUAY YA SUAREZ 3-1

    Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Uruguay kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Amerika Kusini leo Uwanja wa Taifa wa Julio Martínez Pradanos mjini Santiago, Chile. Bao lingine la Chile lilifungwa na Eduardo Vargas wakati la Uruguay lilifungwa na Edinson Cavani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANCHEZ APIGA MAWILI CHILE WAKIIBUTUA URUGUAY YA SUAREZ 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top