// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAID TULIY NA JASMINE KATIKA SURA ZENYE KUASHIRIA KUTOFURAHIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAID TULIY NA JASMINE KATIKA SURA ZENYE KUASHIRIA KUTOFURAHIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, November 08, 2016

    SAID TULIY NA JASMINE KATIKA SURA ZENYE KUASHIRIA KUTOFURAHIA

    Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tuliy (kushoto) na Jasmine Costa (kulia) wakifuatilia mchezo wa timu yao dhidi ya African Lyon juzi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Lyon ilishinda 1-0 mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara  
    Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kulia) akifarijiana na rafiki zake baada ya bao pekee la Abdallah Mguhi 'Messi' kuipa ushindi wa Lyon
    Mashabiki wa Simba walikuwa watulivu Jumapili Uwanja wa Uhuru kama hivi
    Waliufuatilia mchezo kwa makini dakika zote 90 na ushei kama hivi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAID TULIY NA JASMINE KATIKA SURA ZENYE KUASHIRIA KUTOFURAHIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top