Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akiendesha gari aina ya Mercedes-AMG C 63 Saloon yenye thamani ya Pauni 60,000 (zaidi ya Sh. Milioni 130) kwenye viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo, Manchester jana. Rashford ananunua benzi siku chache baada ya mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mtanzania Mbwana Samatta kununua benzi aina hiyo pia PICHA ZAIDI GONGA PIA
Mbwana Samatta akiwa ameegemea gari yake mpya aina ya Mercedez Benz Cla220 Cdi AMG Sport ya mwaka 2016 yenye thamani ya zadi ya Sh. Milioni 130 makao makuu ya klabu yake KRC Genk, Laminus Arena, Genk, Ubelgiji

0 comments:
Post a Comment