// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PLUIJM NAYE ALIHUDHURIA MAZISHI YA MZEE SAID LEO KISUTU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PLUIJM NAYE ALIHUDHURIA MAZISHI YA MZEE SAID LEO KISUTU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, November 08, 2016

    PLUIJM NAYE ALIHUDHURIA MAZISHI YA MZEE SAID LEO KISUTU

    Kocha Mholanzi wa Yanga, Hans van der Pluijm (kulia) alikuwepo kwenye mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad Abeid leo makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh


    Kiongozi wa zamani wa Yanga, Abdallah Bin Kleb (katikati) alikuwepo pia
    Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likifunguliwa
    Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia alikuwepo
    Rais wa zamani wa TFF, Leodegar Tenga alikuwepo pia
    Wachezaji wa Azam Akademi walikuwepo pia leo
    Wadau mbalimbali wa michezo wakiwa makaburi ya Kisutu leo
    Yussuf Bakhresa kulia naye alikuwepo 
    Wadau mbalimbali waliojitokeza kwenye safari ya mwisho ya Sheikh Said
    Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Abedi Mziba 'Tekero' alikuwepo pia
    Viuongozi wa Simba kutoka kulia Hamisi Kisiwa, Said Tuliy na Patrick Kahemele
    Kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa alikuwepo
    Rais wa TFF, Jamal Malinzi alikuwepo msibani pia
    Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa alikuwepo msibani 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PLUIJM NAYE ALIHUDHURIA MAZISHI YA MZEE SAID LEO KISUTU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top