// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MESSI AFUFUA MATUMAINI YA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MESSI AFUFUA MATUMAINI YA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, November 17, 2016

    MESSI AFUFUA MATUMAINI YA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA

    Nyota wa Argentina, Angel Di Maria (kushoto) na Lionel Messi (kulia) wakifurahia ushindi wa 3-0 dhidi ya Colombia jana katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi kanda ya Amerika Kusini uliofanyika Uwanja wa San Juan del Bicentenario mjini San Juan, jimbo la San Juan. Mabao ya Argentina yalifungwa na Messi,  Lucas Pratto na Di Maria PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AFUFUA MATUMAINI YA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top