// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAZOEZI YA MWISHO SIMBA SC LEO SOKOINE KABLA YA KUIVAA PRISONS KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAZOEZI YA MWISHO SIMBA SC LEO SOKOINE KABLA YA KUIVAA PRISONS KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, November 08, 2016

    MAZOEZI YA MWISHO SIMBA SC LEO SOKOINE KABLA YA KUIVAA PRISONS KESHO

    Kocha Msaidizi wa Simba, Mganda Jackson Mayanja akiwa ameinua mpira juu mbele ya wachezaji wake wakati wa mazoezi leo jioni Uwanja wa Sokoine, Mbeya siku moja kabla ya kumenyana na wenyeji, Prisons kesho kwenye Uwanja huo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
    Mayanja (kulia) akipiga mpira na kushoto ni winga Shizza Kichuya
    Mayanja kulia na Kichuya kushoto wakati wa mazoezi ya leo
    Kiungo mkongwe wa Simba, Mwinyi Kazimoto akipiga danadana za kichwa katikati ya wachezaji wenzake
    Kocha Mkuu, Mcameroon Joseph Marius Omog (kushoto) akiongoza mazoezi  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO SIMBA SC LEO SOKOINE KABLA YA KUIVAA PRISONS KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top