Kipa Daniel Agyei kutoka klabu ya Medeama SC ya kwao, Ghana akionyesha dole gumba kuashiria 'mambo safi' baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo kwa ajili ya mipango ya kujiunga na klabu ya Simba ya Tanzania.
Daniel Agyei baada ya kuwasili Dar es Salaam leo
Daniel Agyei baada ya kuwasili Dar es Salaam leo
0 comments:
Post a Comment