Zlatan Ibrahimovic akishangilia kwa mapigo ya teke la Kung Fu huku wachezaji wenzake, Juan Mata na Phil Jones wakimuangalia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United dakika za 21 na 33 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Swansea City Uwanja wa Liberty. Bao lingine la United lilifungwa na Paul Pogba dakika ya 15, wakati la Swansea lilifungwa na Mike van der Hoorn dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Packers' 2025 Free Agents, Targets and Draft Needs After NFL Playoff Loss
-
A year ago, the Green Bay Packers seemingly took the NFL by surprise.
Jordan Love stepped onto the stage as a franchise quarterback, and the
league's young...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment