David Haye (kushoto) akimrushia ngumi mpinzani wake, Tony Bellew baada ya kushindwa kuvumilia 'maneno ya shombo' aliyokuwa anatupiwa wakati wa kutambulisha pambano lao lisilo la ubingwa uzito wa Heavy leo litakalofanyika Machi 4 mwakani ukumbi wa O2 Arena, London. Ngumi hiyo haikumpata Bellew na mara moja wawili hao walitenganishwa na kubaki kupigana kwa maneno hadi wanaondoka eneo la tukio PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Five talking points from final round of Six Nations
-
Here's our round-up of the big talking points from the final round of
fixtures in the 2025 tournament.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment