Alexis Sanchez akikimbia kushangilia baada ya kiungo wa PSG, Marco Verratti kujifungia kuipatia bao la pili Arsenal dakika ya 60 lililoelekea kuwa la ushindi kabla ya PSG kusawazisha na mchezo huo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Playa kumalizika kea are ya 2-2 Uwanja wa Emirates. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 45, wakati ya PSG yalifungwa na Edinson Cavani dakika ya 18 na Alex Iwobi dakika ya 77 aliyejifunga pia. Kwa matokeo hayo, Arsenal na PSG zote zimesonga mbele kutoka kundi hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jamie Humphreys: Meet footy's newest heartthrob - as legend Andrew Johns
reveals he has a man crush on the NRL's hottest rising star
-
Jamie Humphreys has been a very pleasant surprise for Souths supporters as
he turns in match-winning performances - and many fans are very impressed
with h...
48 minutes ago
0 comments:
Post a Comment