// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ANNETTE NA THE UNIT WALIVYOKONGA NYOYO UZINDUZI WA THURAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ANNETTE NA THE UNIT WALIVYOKONGA NYOYO UZINDUZI WA THURAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, November 07, 2016

    ANNETTE NA THE UNIT WALIVYOKONGA NYOYO UZINDUZI WA THURAYA

    Mwanamuziki Annette Seghito Ngongo akiimba na bendi ya The Unit Ijumaa kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Courtyard, Sea View, Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa simu za Thuraya
    Annette alikonga nyoyo za waalikwa kwenye shughuli hiyo
    Maelezo kuhusu simu za Thuraya ambazo zipo katika mfumo tofauti na simu za mkononi zilizozoeleka nchini
    Waalikwa wakisikiliza kwa makini kuhusu simu za Thuraya 
    Waalikwa walijipatia elimu ya kutosha kuhusu simu za Thuraya
    Maofisa wa Thuraya wakiwaelimisha waalikwa kuhusu simu za Thuraya 
    Waalikwa wakifuatilia kwa makini maelezo kuhusu simu za Thuraya
    Baada ya elimu kuhusu simu za Thuraya, ikafuatia pati fupi ya wima na burudani ya bendi ya The Unit ikiongozwa na mwanadada Annette
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ANNETTE NA THE UNIT WALIVYOKONGA NYOYO UZINDUZI WA THURAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top