
Wednesday, November 30, 2016

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku huu amemaliza ukame wa mabao baada ya ...
HAYE ATAKA KUZIPIGA KAVU KAVU NA BELLEW
Wednesday, November 30, 2016
David Haye (kushoto) akimrushia ngumi mpinzani wake, Tony Bellew baada ya kushindwa kuvumilia 'maneno ya shombo' aliyokuwa anatup...
SOUTHGATE ASAINI MIAKA MINNE KUFUNDISHA ENGLAND
Wednesday, November 30, 2016
Mtendaji Mkuu wa Chama cha Soka (FA) England, Martin Glenn (kulia) akipeana mikono na Gareth Southgate baada ya kusaini mkataba wa miak...
SIMBA YAWASILISHA RISITI ZA MISHAHARA YA KESSY BENKI
Wednesday, November 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe, amesema kwamba klabu ilimtimizia haki ...
BABU NGASSA AWASHAURI TOTO KUSAJILI
Wednesday, November 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MENEJA wa Toto Africans, Khalfan Ngassa ameushauri wa timu hiyo kutoa fedha kusajili wachezaji wa kuiong...
MTIBWA SUGAR YASAJILI KIFAA CHA ZENJI
Wednesday, November 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wameendelea kujiimarisha kwa mzunguko wa pili wa Lig...
KESI YA AKINA CHACHA, MATANDIKA YAPIGWA KALENDA
Wednesday, November 30, 2016
Na Hellen Mwango, DAR ES SALAAM KESI inayowakabili Maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesogezwa mbele hadi Desemba 5, mwaka huu...
MALINZI AWAPA POLE WABRAZIL KWA MSIBA MZITO
Wednesday, November 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SAALAM RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la M...
KIPA MPYA WA SIMBA KUTOKA GHANA TAYARI YUPO MJINI
Wednesday, November 30, 2016
Kipa Daniel Agyei kutoka klabu ya Medeama SC ya kwao, Ghana akionyesha dole gumba kuashiria 'mambo safi' baada ya kuwasili Uwanja...
MICHO AMBEBA JUUKO KIKOSI CHA UGANDA AFCON
Wednesday, November 30, 2016
BEKI wa Simba ya Tanzania, Juuko Murshid ameitwa kwenye kikosi cha awali cha wachezaji 40 wa Uganda kwa maandalizi ya Fainali za Kombe la M...
MWAKILISHI WA TANZANIA MISS AFRIKA AREJEA
Wednesday, November 30, 2016
Mshirikishi wa shindano la Miss Afrika, Julitha Kabete (wa tatu kulia), akiwa na wazazi wake na ndugu na jamaa Uwanja wa Ndege wa Kimata...
LIVERPOOL 2-0 LEEDS UNITED
Wednesday, November 30, 2016
NIGERIA NA CAMEROON 'KOMBE UWANJANI' AWCON 2016
Wednesday, November 30, 2016
TIMU ya Nigeria imekwenda fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Afrika Kusini jana mjini Lim...
LIVERPOOL YAENDA NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI, DOGO WOODBURN AKIWEKA REKODI
Wednesday, November 30, 2016
Ben Woodburn akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Leeds United kwenye mchezo...
AJALI MBAYA YAUA 76 WAKIWEMO WACHEZAJI WA BRAZIL
Wednesday, November 30, 2016
NDEGE iliyokuwa imewabeba watu 81, wakiwemo wachezaji na maafisa wa moja ya klabu kubwa za soka nchini Brazil, imeanguka ikikaribia mji wa ...
YANGA WAWAKIMBIA SIMBA POLISI, KESHO MAZOEZI GYMKHANA
Wednesday, November 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA SC wameamua kuhama Uwanja wa Chuo cha Maofisa wa Polisi, Kurasini, Dar es Salaam ili kuwakwepa mah...
Tuesday, November 29, 2016
WAZIRI MWIGULU AKIWA NA 'MIDO' MPYA MZAMBIA WA YANGA LEO
Tuesday, November 29, 2016
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (kulia) akiwa na kiungo wa kimataifa wa Zambia, Justine Zulu aliyewasili leo kwa ajili ya majar...
NASSOR 'FATHER' MWENYEKITI MPYA AZAM FC
Tuesday, November 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Nassor Idrissa 'Father',...
SIMBA, YANGA WATAKIWA KUWALIPA WADAI WAKE
Tuesday, November 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imetakiwa kumlipa madai yake, kocha wake wa zamani, Mganda Amatre Richard, wakati mahasimu wao, ...
KASEJA, BANKA WAJITOA TIMU YA TAIFA YA UFUKWENI
Tuesday, November 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu unaochezwa ufukweni (Beach Soccer), John Mwansasu amesema a...
KAMATI YA NIDHAMU TFF YAFUTA ADHABU ZA KAMATI YA SAA 72
Tuesday, November 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefuta adhabu iliyotolewa na Kamati ya Uendesha...
MALINZI AMPONGEZA MTAKA
Tuesday, November 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Anthony Mtaka kwa kuchagu...
COUTINHO 'ANUSURIKA KISU', HUENDA AKAWAHI MECHI NA MAN IUNITED
Tuesday, November 29, 2016
Nyota wa Liverpool, Philippe Coutinho hatafanyiwa upasuji kufuatia kuumia henka PICHA ZAIDI GONGA HAPA MECHI ZIJAZO ZA LIVERP...
NUSU FAINALI KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA KWA WANAWAKE LEO
Tuesday, November 29, 2016
NUSU Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake zinachezwa leo wenyeji Cameroon wakimenyana na Ghana mjini Yaounde wakati mabingwa ...
NAPE ALIPOMPOKELEA ZAWADI RAIS MAGUFULI JANA
Tuesday, November 29, 2016
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye (kulia) akipokea zawadi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
SIMBA WANAKUTANA LEO POLISI, MAZOEZI KUANZA KESHO
Tuesday, November 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Simba SC wanatarajiwa kukutana leo Uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini,Dar es Salaam kujipan...
Monday, November 28, 2016
KAKOLANYA AKAMATWA AMEPANDA BODA BODA BILA KUVAA HELMET
Monday, November 28, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIPA wa Yanga, Benno Kakolanya leo ameshindwa kuhudhuria mazoezi ya timu yake kufuatia kukamatwa na aska...
WAKUU WAPYA WA IDARA YA UFUNDI YANGA WALIVYOANZA KAZI PAMOJA LEO
Monday, November 28, 2016
Kocha mpya wa Yanga, Mzambia George Lwandamina (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu, Mholanzi Hans van der Pluijm leo asubuhi w...
WACHEZAJI MBEYA CITY WAANZA KUKUSANYIKA KWA KAMBI
Monday, November 28, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAKATI mazoezi ya kipangwa kuanza kesho kutwa, baadhi ya nyota wa kikosi cha Mbeya City fc waliokuwa nj...
PROFESA JAY NA SUGU WALIVYOZINDUA MASHINDANO JANA MIKUMI
Monday, November 28, 2016
Waziri kivuli wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Joseph Osmund Mbilinyi, Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA) (kulia) akiwa na Mbu...
Subscribe to:
Posts (Atom)