Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akimtoka beki wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Yanga ilishinda 6-2
Deus Kaseke akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Kagera Sugar
Kaseke na Ngoma wakimpongeza Chirwa aliyefunga mabao mawili jana
Kutoka kulia Chirwa, Kaseke na Ngoma wakiondoka Uwanja wa Kaitaba baada ya mechi
Kikosi cha Yanga jana Kaitaba




0 comments:
Post a Comment