// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC NA MBAO KATIKA PICHA JANA SHAMBA LA BIBI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC NA MBAO KATIKA PICHA JANA SHAMBA LA BIBI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, October 21, 2016

        SIMBA SC NA MBAO KATIKA PICHA JANA SHAMBA LA BIBI

        Beki Mghana wa Mbao FC, Asante Kwesi (kulia) akimdhibiti winga machachari wa Simba, Shizza Kichuya
        Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Mbao FC, Steve Kigocha 
        Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akiondoka na mpira pembeni ya beki wa Mbao FC, Pius Buswita
        Beki Mkongo wa Simba, Janvier Besala Bokungu (kushoto) akitia krosi mbele ya mchezaji wa Mbao, Emmanuel Mvuyekure
         Mshambuliaji wa Mbao FC, Hussein Sued akiwafunga tela wachezaji wa Simba
        Laudit Mavugo akipiga mpira kichwa mbele ya beki wa Mbao, Steve Mganya huku wachezaji wengine wakiwa tayari kusaidia
        Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akimpiga chenga ya kumzunguka, Emmanuel Mvuyekure wa Mbao 
        Pius Buswita wa Mbao FC akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Simba, Shizza Kichuya (kulia) na Ibrahim Hajib (kushoto) 
         Kikosi cha Simba jana
        Kikosi cha Mbao jana
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC NA MBAO KATIKA PICHA JANA SHAMBA LA BIBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry