Mshambuliaji wa Simba SC, Abdallah Kibadeni (8) akimiliki mpira mbele ya wachezaji wenzake Julai 19, mwaka 1977 katika mchezo wa Klabu Bingwa ya Taifa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Simba ilishinda 6-0, Kibadeni akifunga mabao matatu dakika za 10, 42 na 89, wakati mengine yalifungwa na Jumanne Hassan 'Masimenti' dakika ya 60 na 73 na Selemani Sanga aliyejifunga dakika ya 20.
Sixty years since United won the 1964/65 title
-
The Reds effectively sealed the league during a dramatic day of Division
One football.
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment