Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakiwa wenye majonzi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam usiku wa Jumanne wakitokea Brazzaville, Kongo ambako Jumapili walifungwa 1-0 na wenyeji katika mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya fainali za U-17 Afrika mwakani Madagascar. Serengeti imetolewa kwa mabao ya ugenini baada ya kushinda 3-2 katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam
Wachezaji wa Serengeti Boys wakiwa wenye majonzi Uwanja wa Ndege baada ya kuwasili wakitokea Kongo
Wachezaji wa Serengeti Boys wakiwa wenye majonzi Uwanja wa Ndege baada ya kuwasili wakitokea Kongo
Mshauri wa Ufundi wa Serengeti Boys, Mdenmark kim Poulsen (kulia akiwa na Ofisa Itifaki wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Matola
Wachezaji wa Serengeti Boys wakielekea kwenye basi baada ya kuwasili wakitokea Kongo
Wachezaji wa Serengeti Boys wakiwa na kocha wa makipa Muharami Mohammed (katikati)





0 comments:
Post a Comment