Mshambuliaji Sadio Mane akiunganisha pasi ya Roberto Firmino kuifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Bromwich Albion leo Uwanja Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho, wakati la wageni lilifungwa na Gareth McAuley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man Utd to take part in Women's World Sevens
-
Manchester United will be one of the eight clubs competing in the inaugural
Women's World Sevens tournament in May.
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment