Kikosi kilichorejesha heshima Simba SC mwaka 1991 baada ya timu kuyumba mwishoni mwa miaka ya 1980 kiasi cha kukaribia kushuka Daraja. Kikosi hiki kilitwaa ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati 1991 Dar es Salaam na huo ukawa mwanzo wa kupata Simba imara iliyotamba mwanzoni mwa miaka ya 1990 ikiwa ni pamoja na kufika fainali ya Kombe la CAF 1993 na kutwaa mataji mfululizo ya Afrika Mashariki na Kati.
Odegaard proud of Saka, Martinelli and recent wins
-
Before every game at Emirates Stadium, Martin Odegaard lifts the lid on the
mood in the camp via his captain’s notes
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment