Sunday, October 23, 2016

    KELECHI IHEANACHO AINUSURU MAN CITY KULALA NYUMBANI

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Kelechi Iheanacho akiifungia Manchester City bao la kusawazisha dakika ya 55 katika sare ya 1-1 na Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Etihad. Bao la Southampton lilifungwa na  Nathan Redmond dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KELECHI IHEANACHO AINUSURU MAN CITY KULALA NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry