• HABARI MPYA

        Saturday, October 29, 2016

        GIROUD, SANCHEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 SUNDERLAND

        Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Francis Coquelin baada ya kufunga mabaoi mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Sunderland Uwanja wa Light. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa Alexis Sanchez wakati la Sunderland lilifungwa na Jermain Defoe PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: GIROUD, SANCHEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry