
Beki mkongwe wa Chelsea, John Terry akipambana na wachezaji wa West Ham usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi England Uwanja wa London. West Ham ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Cheikhou Kouyate na Edimilson Fernandes, wakati la Chelsea lilifungwa na Gary Cahill PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment