
Monday, October 31, 2016

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm amesema kwamba si rahisi kucheza mechi tatu za Ligi Kuu ...
MALINZI ATEULIWA KAMATI YA KUBADILI MUUNDO WA CAF
Monday, October 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou amemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),...
YANGA WAPATA MAPOKEZI MAZURI MBEYA
Monday, October 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, MBEYA YANGA SC wamepata mapokezi mazuri mjini Mbeya baada ya kuwasili leo, kwa ajili ya mechi zao mbili mfululizo za Li...
POLISI YAZUNGUMZIA KIFO CHA MASHALI, FAMILIA YATAJA TAREHE YA MAZISHI
Monday, October 31, 2016
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM JESHI la Polisi Kanda Maalum, Kinondoni, Dar es Salaam limethibitisha bondia Thomas Fabian Mashali maarufu ...
MASHALI AUAWA AKIDHANIWA NI MWIZI KIMARA
Monday, October 31, 2016
BONDIA Thomas Fabian Mashali amefariki dunia baada ya kupigwa na watu ambao bado hawajajulikana usiku wa kuamkia leo eneo la Kimara Bony...
MUZAMIL YASSIN AUMIA ENKA SIMBA IKIJIANDAA NA STAND UNITED
Monday, October 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA SIMBA SC iko hatarini kumkosa kiungo wake tegemeo, Muzamil Yassin katika mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya Voda...
RAMBO AMUIBUKIA PACQUIAO GYM AKIJIANDAA KURUDI ULINGONI NOVEMBA 5
Monday, October 31, 2016
Bondia Mfilipino, Manny Pacquiao akiwa na gwiji wa filamu za kibabe Marekani, Sylvester Stallone maarufu kama Rambo au 'Bondia Rocky...
CHELSEA SI WA MCHEZO MCHEZO, SOUTHAMPTON KAFA 2-0 KWAKE
Monday, October 31, 2016
Wachezaji wa Chelsea, wakiongozwa na David Luiz kushangilia bao la kwanza la Eden Hazard katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Southamp...
YANGA NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA UHURU
Monday, October 31, 2016
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akimpa pasi ya kichwa mchezaji mwenzake, Simon Msuva (kushoto) mbele ya beki Mghana wa Mbao ...
Sunday, October 30, 2016
BARCELONA 1-0 GRANADA
Sunday, October 30, 2016
SOUTHAMPTON 0-2 CHELSEA
Sunday, October 30, 2016
YANGA KIBOKO, MBAO WAMEKUFA 3-0 KAMA WAMESIMAMA
Sunday, October 30, 2016
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KOCHA Mhoalanzi wa Mholanzi Franciscus Johannes ‘Hans’ van der Pluijm amerejea na mguu mzuri baada ya leo k...
TAMBWE ANAANZA NA CHIRWA LEO YANGA DHIDI YA MBAO, NGOMA ANASUBIRI
Sunday, October 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya kutokea benchi Jumatano na kufunga mabao mawili, Yanga ikishinda 4-0 dhidi ya JKT Ruvu, mshambul...
MAZEMBE WAIHOFIA BEJAIA SHIRIKISHO
Sunday, October 30, 2016
KOCHA wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Hubert Velud hakubaliani na timu yake kupewa nafasi kubwa ya kuwafunga Moulo...
KWA NINI HUYU SINGANO 'MESSI' WA AZAM FC KAJIFUNIKA HIVI USONI?
Sunday, October 30, 2016
Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwasili mjini Mwanza jana na timu yake Azam FC kwa ajili ya mechi mbili mfululizo z...
ADEBAYOR SAFARI KWENYE SIASA NINI?
Sunday, October 30, 2016
Mwanasoka bora wa zamani Afrika, Emmanuel Adebayor (kushoto) akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls mjini Lome, Togo huku ...
HUO UBISHI WA MBAO HATA KWA YANGA, AU ILIKUWA KWA SIMBA TU?
Sunday, October 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC wanateremka kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam jioni ya leo kumenyana na Mbao FC ya Mwan...
DEWJI ALIVYOTUMIA MADARAKA YAKE STARS KUMHAMISHIA CHINA SIMBA SC
Sunday, October 30, 2016
Meneja wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Azim Dewji akiwa na kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China mwaka 1992 Uwanja wa Ndege...
NI AGIZO LA KIGANJA ‘MBAYA WA MANJI’, AU AGIZO LA SERIKALI?
Sunday, October 30, 2016
WAKATI wa uchaguzi wa Yanga katikati ya mwaka huu kulitokea mvutano baina ya klabu hiyo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Baraza la Mic...
Saturday, October 29, 2016
CRYSTAL PALACE 2-4 LIVERPOOL
Saturday, October 29, 2016
SAMATTA ATOKEA BENCHI GENK IKIUA 2-1 UBELGIJI
Saturday, October 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amecheza benchi timu yake, KRC Genk ikishinda 2-1 dhidi...
RONALDO APIGA HAT TRICK, AKOSA PENALTI REAL MADRID IKISHINDA 4-1
Saturday, October 29, 2016
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili katika ushindi wa 4-1 ugenini dhidi ya Alaves Uwanja wa Mendiz...
LIVERPOOL YAUA 4-2 UGENINI ENGLAND
Saturday, October 29, 2016
Roberto Firmino (kulia) akishangilia na Philippe Coutinho na Sadio Mane baada ya kuifungia Liverpool bao la nne katika ushindi wa 4-2 dhi...
WEST BROMWICH 0-4 MAN CITY
Saturday, October 29, 2016
ALAVES 1-4 REAL MADRID
Saturday, October 29, 2016
MAN UNITED 0-0 BURNLEY
Saturday, October 29, 2016
SUNDERLAND 1-4 ARSENAL
Saturday, October 29, 2016
AHMED MUSA AINUSURU LEICESTER KULALA KWA SPURS
Saturday, October 29, 2016
Mshambuliaji wa Leicester City, Ahmed Musa akigalagazana na kipa wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris kuifungia bao la kusawazisha timu yake...
AGUERO AFIKISHA MABAO 149 MAN CITY IKIUA 4-0 ENGLAND
Saturday, October 29, 2016
Sergio Aguero akiteleza kibabe kushangilia bao lake 149 kwenye mashindano yote Manchester City jioni ya leo katika ushindi wa 4-0 dhidi y...
MOURINHO 'ATIMULIWA' KWENYE BENCHI MAN UNITED IKING'ANG'ANIWA NA BURNLEY
Saturday, October 29, 2016
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiketi jukwaani baada ya kuondolewa kwenye benchi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England bain...
GIROUD, SANCHEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 SUNDERLAND
Saturday, October 29, 2016
Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Francis Coquelin baada ya kufunga mabaoi mawili ka...
SIMBA SC YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAWAPIGA 3-0 MWADUI KAMBARAGE
Saturday, October 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA SIMBA SC imezidi kupiga kasi kuelekea kwenye taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ji...
SIMBA SC KUENDELEZA UBABE LIGI KUU LEO?
Saturday, October 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba SC wanashuka Uwanja wa Kambarage, Shinyanga leo kumenyana n...
Friday, October 28, 2016
RONALDO AREJEA KIKOSINI REAL MADRID IKIIVAA ALAVES KESHO
Friday, October 28, 2016
NYOTA wa Real Madrid wamerejea mazoezini baada ya kupumzishwa kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey. Cristiano Ro...
Subscribe to:
Posts (Atom)