// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SLIMANI APIGA MAWILI LEICESTER CITY IKISHINDA 3-0 DHIDI YA BURNLEY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SLIMANI APIGA MAWILI LEICESTER CITY IKISHINDA 3-0 DHIDI YA BURNLEY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Saturday, September 17, 2016

    SLIMANI APIGA MAWILI LEICESTER CITY IKISHINDA 3-0 DHIDI YA BURNLEY

    Mchezaji ghali wa Leicester City, Mualgeria Islam Slimani akishangilia mbele ya wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 45 na 48 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Bao lingine la mabingwa watetezi limefungwa na Ben Mee aliyejifunga dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SLIMANI APIGA MAWILI LEICESTER CITY IKISHINDA 3-0 DHIDI YA BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry