Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia bao lake la pili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Hull City Uwanja wa KCOM. Sanchez alifunga dakika za 17 na 83, wakati mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott dakika ya 55 na Granit Xhaka dakika ya 90 na ushei, huku la wenyeji likifungwa na Robert Snodgrass kwa penalti dakika ya 79, baada ya kipa Petr Cech kumchezea rafu Dieumerci Mbokani kwenye boksi. Beki wa Hull, Jake Livermore alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuzuia shuti la Francis Coquelin kwa mkono PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jalen Brunson, Knicks Praised by Fans in OT Win vs. 76ers amid Embiid,
Towns Injuries
-
Even with star center Karl-Anthony Towns sidelined, the New York Knicks
handled business on the road, dropping the Philadelphia 76ers in overtime
125-119 on…
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment