Kocha Mreno wa Manchester United, Jose Mourinho akifurahia baada ya timu yake kushinda 3-1 dhidi ya wenyeji Northampton Town usiku huu Uwanja wa Sixfields. Mabao ya United yalifungwa na Michael Carrick dakika ya 17, Ander Herrera dakika ya 68 na Marcus Rashford dakika ya 75, wakati la wenyeji lilifungwa na Alex Revell kwa penalti dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
38 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment