Kocha wa Manchester United, Mreno Jose Mourinho akihamaki baada ya timu yake kuanza vibaya mchezo wa Kundi A Europa League kwa kufungwa 1-0 na wenyeji Feyenoord bao pekee la Tonny Vilhena dakika ya 79 akimalizia pasi ya Nicolai Jorgensen Uwanja wa Feijenoord mjini Rotterdam, Uholanzi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FA CUP FOURTH ROUND DRAW: Man United handed all-Premier League home tie
after beating Arsenal, while Chelsea face tricky away trip
-
Ruben Amorim 's side will look to continue their cup defence in fine stead
after pulling off a dramatic shootout win over Arsenal on Sunday afternoon.
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment