Wakali watatu wa Barcelona, kutoka kushoto Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar wakishangilia ushindi wa 5-1 ugenini dhidi ya wenyeji Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque mjini Leganes katika mchezo wa La Liga leo. Messi alifunga mabao mawili dakika za 15 na 55, Suarez moja dakika ya 31, Neymar moja dakika ya 44 na lingine Rafinha dakika ya 64, wakati la kufutia machozi la wenyeji lilifungwa na Gabriel dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tearful Jabeur overcomes breathing problems to win
-
Former world number two Ons Jabeur in tears on court as she struggles with
breathing difficulties during her third-round Australian Open victory.
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment