Friday, September 30, 2016
Kiungo wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti Boys, Kelvin Nashon ‘akisepa na kijiji cha mabeki’ wakati w...
AZAM WAANZIA TANGA KUSAKA VIPAJI VYA U-17, ZANZIBAR BAADAYE KIDOGO
Friday, September 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imefanya mabadiliko kidogo kuhusu mpango wake wa kitaif...
MUONGO HUU SIMBA KABURUZWA NA YANGA HADI AIBU!
Friday, September 30, 2016
REKODI YA SIMBA NA YANGA TANGU MWAKA 2010 P W D L GF GA GD Pts Yanga SC 13 5 5 3 16 15 1 15 Sim...
YANGA HATA IWE BORA, KUIFUNGA SIMBA KWA MBINDE
Friday, September 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM UKIONDOA ushindi wa 5-0 Juni 1 mwaka 1968, ushindi mwingine mkubwa wa Yanga dhidi ya Simba umekuwa ni 3-...
SERENGETI BOYS MAZOEZINI JANA KONGO
Friday, September 30, 2016
Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Kelvin Nashon Naftal (kushoto) na Zuberi Rashid Ada katik...
MAN UNITED 1-0 ZORYA
Friday, September 30, 2016
IBRAHIMOVIC AIFUNGIA MAN UNITED BAO PEKEE IKISHINDA 1-0 ULAYA
Friday, September 30, 2016
Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic (kulia) akimtoka beki wa Zorya Luhansk ya Ukraine, Mikhail Sivakov anayejaribu ku...
SAMATTA AIBUKA KIPINDI CHA PILI GENK YAUA 3-1 EUROPA LEAGUE
Friday, September 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ametokea benchi timu yake, KRC Genk ikishinda ...
Thursday, September 29, 2016
SIMBA, YANGA ZAREJEA KESHO DAR TAYARI KWA KIPUTE CHA JUMAMOSI
Thursday, September 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WATANI wa jadi, Simba na Yanga wote wanatarajiwa kurejea kesho Dar es Salaam kutoka kwenye kambi zao Moro...
WACHEZAJI WA GHANA HAWANA NGUVU KWA SABABU YA NGONO
Thursday, September 29, 2016
MKURUGENZI wa Ufundi wa klabu ya Asante Kotoko, Malik Jabir amesema wachezaji wa Ligi Kuu ya Ghana wanakosa nguvu kwa sababu wanapenda sa...
MAKOCHA SERENGETI BOYS WASEMA VIJANA WAKO TAYARI KWA MCHEZO WA MARUDIANO
Thursday, September 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, BRAZZAVILLE MAKOCHA wa timu ya taifa ya Mpira wa Miguu ya vijana wa Tanzania ‘Serengeti Boys’, Bakari Nyundo Shime na M...
MKWASA AITA WACHEZAJI 24 KUIVAA ETHIOPIA OKTOBA 8 ADDIS
Thursday, September 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametaja majina ya nyota 24 ...
AZAM FC WAPANIA KUREJESHA HESHIMA JUMAPILI LIGI KUU
Thursday, September 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Azam FC, Zeben Hernandez Rodriguez amesema kwamba ushindi ni muhimu kwa kikosi chake wakati...
ATLETICO MADRID 1-0 BAYERN MUNICH
Thursday, September 29, 2016
CELTIC 3-3 MAN CITY
Thursday, September 29, 2016
BORUSSIA MOENCHENGLADBACH 1-2 BARCELONA
Thursday, September 29, 2016
ARSENAL 2-0 BASEL
Thursday, September 29, 2016
MANJI AMEWAPA YANGA ENEO AMBALO LINAMILIKIWA NA WATU WENGINE PIA
Thursday, September 29, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM ENEO la ukubwa wa ekari 715 liliopo ufukweni mwa Bahari ya Hindi, Geza Ulole, Kigamboni, Dar es Salaam a...
MO DEWJI ANAMWAGA FEDHA TU SIMBA...SASA MSIMBAZI NI BWAWA LA NEEMA!
Thursday, September 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MFANYABIASHARA Mohamed 'Mo' Dewji sasa ndiye analipa mishahara ya wachezaji wa klabu ya Simba, ku...
Subscribe to:
Posts (Atom)