Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akienda chini baada ya kupamiana na beki wa African Lyon, William Otong katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akienda hewani kuuweka sawa katika himaya yake mpira wa juu mbele ya mabeki wa Lyon
Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akitia krosi baada ya kumpita beki wa Lyon
Kiungo Haruna Niyonzima akitoa pasi mbele ya mchezaji wa Lyon
Beki wa African Lyon, Baraka Jaffar akiwafunga tela wachezaji wa Yanga, Hassan Kessy (kulia) na Simon Msuva (nyuma)
Kiungo Deus Kaseke (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Lyon
Winga Simon Msuva wa Yanga, akimlamba chenga beki wa Lyon, Omar Salum
Beki wa Lyon, Halfani Twenye akimuwekea mguu beki wa Yanga, Mwinyi Mngwali kumzuia kupiga mpira
Kikosi cha African Lyon jana
Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Taifa
Ghanaian forward Elvis Amoh joins USL side Indy Eleven
-
Indy Eleven has bolstered its attacking options by signing seasoned
Ghanaian forward Elvis Amoh, a prolific presence in the USL Championship
over the past ...
59 minutes ago
0 comments:
Post a Comment