Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa wa baba wa kipa wa timu yake, Deo Munishi 'Dida' leo Kanisa Katoliki, Chang'ombe, Temeke, Dar es Salaam.
Manji akisalimiana na wapenzi wa timu hiyo waliojitokeza kuuaga mwili wa baba yake Dida aliyefariki Jumapili, ambaye anasafrisihwa Kilimanjaro kwa mazishi
Manji akisalimiana na wapenzi wa timu hiyo waliojitokeza kuuaga mwili wa baba yake Dida aliyefariki Jumapili, ambaye anasafrisihwa Kilimanjaro kwa mazishi
![]() |
Ivo Mapunda na Muhogo Mcbhungu walihudhuria pia |
![]() |
Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' alikuwepo |
0 comments:
Post a Comment