• HABARI MPYA

        Tuesday, August 30, 2016

        BARCA YASAJILI STRAIKA WA VALENCIA, YAMTOA MUNIR KWA MKOPO

        Mshambuliaji Paco Alcacer akiwa amepozi na jezi ya Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 27 kutoka Valencia, zote za Hispania. Barca nayo imemtoa kwa mkopo kinda wake, Munir El Haddadi hadi mwishoni mwa msimu kwenda Valencia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: BARCA YASAJILI STRAIKA WA VALENCIA, YAMTOA MUNIR KWA MKOPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry