• HABARI MPYA

        Monday, August 22, 2016

        BALE ALIVYOPIGA MAWILI REAL MADRID IKICHINJA 3-0 LA LIGA JANA

        Winga wa kimataifa wa Wales, Gareth Bale akiruka kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Manispaa de Anoeta mjini Donostia-San. Bao lingine la Real lilifungwa na Marco Asensio PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: BALE ALIVYOPIGA MAWILI REAL MADRID IKICHINJA 3-0 LA LIGA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry