Sergio Aguero (kushoto) akishangilia na Raheem Sterling baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili, la kwanza kwa penalti dakika ya 27 na lingine akimalizia pasi ya Kevin De Bruyne dakika ya 36 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Stoke City leo Uwanja wa Bet365 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yalifungwa na Manuel Agudo Duran maarufu Nolito dakika ya 86 na 90 na ushei, wakati la wenyeji lilifungwa na Bojan Krkic kwa penalti dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Russell Wilson: 'I Hope' to Sign New Steelers Contract After Wild Card Loss
to Ravens
-
Russell Wilson says he hopes to play again for the Pittsburgh Steelers
after the 2024 season ended with a Saturday night wild-card loss to the
Baltimore…
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment