
Wednesday, August 31, 2016

Stoke City imekamilisha usajili wa mkopo wa mshambuliaji Wilfried Bony kutoka Manchester City, zote za England. The Potters wamelipa ad...
SAMIR NASRI ATUA SEVILLA KWA MKOPO
Wednesday, August 31, 2016
Samir Nasri akisaini mkataba wa mkopo wa muda mrefu wa msimu kujiunga na Sevilla ya Hispania kutoka Manchester City ya England. Kulia ni ...
JOE HART ASAINI KWA MKOPO TORINO
Wednesday, August 31, 2016
Kipa wa kimataifa wa England, Joe Hart akisaini mkataba wa kujiunga na Torino ya Italia kwa mkopo wa muda mrefu wa msimu kutoka Mancheste...
CUADRADO AREJEA JUVENTUS KWA MKOPO WA MIAKA MITATU
Wednesday, August 31, 2016
Winga wa Chelsea, Juan Cuadrado amekamilisha uhamisho wake wa kurejea Juventus kwa mkopo wa miaka mitatu, klabu hiyo ya Italia ikilipa Pa...
CHELSEA YAMSAINI ALONSO KWA PAUNI MILIONI 23
Wednesday, August 31, 2016
Beki wa kushoto, Marcos Alonso akisaini mkataba wa kujiunga na Chelsea kwa dau la Pauni Milioni 23 kutoka Fiorentina ya Italia PICHA ...
MANJI ALIVYOWAONGOZA WANA YANGA KUUAGA MWILI WA BABA YAKE DIDA
Wednesday, August 31, 2016
Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa wa baba wa kipa wa timu yake, Deo Munishi 'Dida...
SERENGETI BOYS NYINGINE ILIKUWA TAMU, LAKINI NDIYO HIVYO TENA!
Wednesday, August 31, 2016
Kikosi cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, maarufu kama Serengeti Boys kikiwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar kabla ya moja ya mechi ...
YANGA WATUMIE AKILI ZAO WENYEWE, WASIIAMINI SANA TFF
Wednesday, August 31, 2016
LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ilianza wiki iliyopita na mwishoni mwa wiki mchezaji mwenye utata katika usajili wake, Hassan Ramadhani K...
Tuesday, August 30, 2016
SAMATTA KUUNGANA NA STARS NIGERIA
Tuesday, August 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta anatarajiwa kuungana na timu ya taifa nchini Nigeria kwa ajili y...
SIMBA SC YATAKIWA KUILIPA MAMILIONI COASTAL UNION
Tuesday, August 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji imeitaka klabu ya Simba SC kuilipa Coastal Union fidia ya ...
YANGA WAKACHA KESI YA KESSY TFF, WAAMBIWA WASIPOTOKEA NA JUMAPILI IMEKULA KWAO
Tuesday, August 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji Jumapili ya Septemba 4, 2016 inatarajiwa kutoa hukumu ya s...
BARCA YASAJILI STRAIKA WA VALENCIA, YAMTOA MUNIR KWA MKOPO
Tuesday, August 30, 2016
Mshambuliaji Paco Alcacer akiwa amepozi na jezi ya Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 27 kutoka Valencia, zote za H...
SIMBA WAENDA KUPASHA KIAINA DOM
Tuesday, August 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Polisi Dodoma Ijumaa kwenye uwanja wa Jam...
DAR MUSICA KUZINDULIWA RASMI SEPTEMBA 16
Tuesday, August 30, 2016
Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BENDI ya Dar Music inatafanya uzinduzi wake rasmi Septemba 16, kwenye Ukumbi wa Mango Gardeni, jijini Dar es...
PEREZ RASMI SASA NI MCHEZAJI WA ARSENAL
Tuesday, August 30, 2016
Mshambuliaji Lucas Perez akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 17 kutoka Deportivo La Coruna ya ...
REMY WA CHELSEA ATUA CRYSTAL PALACE KWA MKOPO
Tuesday, August 30, 2016
Mshambuliaji Loic Remy akiwa ameshika jezi ya Crystal Palace baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo wa muda mrefu kujiunga na kikosi ch...
KIIZA DIEGO ATUA FREE STATE STARS YA AFRIKA KUSINI
Tuesday, August 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba SC, Hamisi Kiiza 'Diego' yuko mbioni kujiunga na Free State Stars...
TANZANIA YAPANGWA NA ETHIOPIA NA RWANDA CHALLENGE
Tuesday, August 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA imepangwa Kundi B pamoja na Ethiopia, Tanzania na Rwanda katika michuano ya ubingwa wa wanawake ...
Monday, August 29, 2016
MKWASA AMUITA STARS KIPA ALIYEIKATALIA SIMBA JUMAMOSI TAIFA
Monday, August 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa, amefanya mabadiliko kwenye...
MECHI YA YANGA NA JKT RUVU YAAHIRISHWA
Monday, August 29, 2016
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Yanga SC na JKT Ruvu uliokuwa ufanyike Jumatano Uwanja...
BILBAO 0-1 BARCELONA
Monday, August 29, 2016
MAN CITY 3-1 WEST HAM
Monday, August 29, 2016
KIPA NAMBA 1 CHELSEA AJIONEA MWENYEWE SHUGHULI LA SAMATTA AKAMUAMBIE CONTE
Monday, August 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, GENK KIPA namba moja wa Chelsea, Thibaut Nicolas Marc Courtois jana alimshuhudia vizuri mshambuliaji wa Tanzania, Mbwan...
YANGA NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA TAIFA
Monday, August 29, 2016
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akienda chini baada ya kupamiana na beki wa African Lyon, William Otong katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
Sunday, August 28, 2016
RAKITIC AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAUA 1-0
Sunday, August 28, 2016
Ivan Rakitic akiifungia bao pekee Barcelona ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga Uwanja wa San Ma...
ANGEFUNGA LINGEKUWA BAO BORA LA MSIMU, LAKINI...
Sunday, August 28, 2016
Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akibinjuka staili ya baiskeli kuunganisha krosi ya beki Hassan Kessy katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom...
DIDA AFIWA NA BABA, KASEKE AFIWA NA BABU
Sunday, August 28, 2016
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wawili wa Yanga SC, kipa Deo Munishi ‘Dida’ na kiungo Deus Kaseke walipokea habari za kuhuzunish...
STERLING APIGA MBILI MAN CITY YAIPA 3-1 WEST HAM
Sunday, August 28, 2016
Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili ikishinda 3-1 dhidi ya West Ham U...
JICHO LA MKWASA ANAPOSAKA VIPAJI VIPYA TAIFA STARS
Sunday, August 28, 2016
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kat...
WAREMBO WASOMI WALIVYOISHUHUDIA YANGA IKIMPA MTU 3-0 LEO TAIFA
Sunday, August 28, 2016
Washiriki wa shindano la Miss High Learning Institution 2016 wakiwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya V...
YANGA YAANZA NA MOTO LIGI KUU, YAITANDIKA 3-0 AFRICAN LYON
Sunday, August 28, 2016
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Yanga SC wameanza vizuri Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kushinda mabao 3-0...
Subscribe to:
Posts (Atom)