Nahodha wa Bin Slum Veterans, Nassor Bin Slum (katikati) akiwatoka wachezaji wa TFF katika mchezo wa Kombe la Fresco Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jioni ya Jumapili. Timu hizo zilifungana 3-3, mabao ya Bin Slum yakifungwa na Clement Kahbuka, Mohammed Banka na Nassor Bin Slum, wakati ya TFF yalifungwa na John Mashaka, Martin Ipiana na Pino Ipiana
Bin Slum akitoka beki wa timu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
Banka akijaribu kumpita beki wa TFF, Buji Sulieman
Kipa wa TFF akidaka mpira mbele ya mshabuliaji wa Bin Slum
Kikosi cha TFF leo
Kikosi cha Bis Slum leo
Kamba Luffo wa Bin Slum Tyres (kulia) akiwania mpira wa juu na mchezaji wa TFF
Manahodha Jemedari Said wa TFF (kulia) na Said Kussi
M
Jemedari Saidi akimtoka beki wa Bin Slum leo
0 comments:
Post a Comment