// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAM ALLARDYCE NDIYE KOCHA MPYA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAM ALLARDYCE NDIYE KOCHA MPYA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, July 22, 2016

        SAM ALLARDYCE NDIYE KOCHA MPYA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND

        Sam Allardyce ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

        HISTORIA YA UKOCHA YA SAM ALLARDYCE

        1991-92: Limerick (kocha-mchezaji)
        1994-96: Blackpool
        1997-99: Notts County
        1999-2007: Bolton Wanderers
        2007-08: Newcastle United
        2008-2010: Blackburn Rovers
        2011-15: West Ham United
        2015-16: Sunderland 
        CHAMA cha Soka (FA) England kimemthibitisha Sam Allardyce kuwa kocha moya wa timu ya taifa, baada ya kuondoka Sunderland. 
        Anakuwa kocha wa 14 wa England akichukua nafasi ya Roy Hodgson, ambaye alijiuzulu baada ya matokeo mabaya kwenye michuano ya Euro 2016 wakitolewa na Iceland. 
        Kocha huyo mwenye uzoefu na Ligi Kuu ya England amesaini Mkataba wa miaka miwili na ataanza kuiongoza Three Lions katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 mwezi Septemba. Allardyce amewataka wachezaji wake wapya atakaowaita kuifanya nchi ijivunie tena. 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SAM ALLARDYCE NDIYE KOCHA MPYA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry