Mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavani akimtoka kiungo wa Real Madrid, Mateo Kovacic katika mchezo wa kirafiki mjini Ohio, Marekani. PSG ilishinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Thomas Meunier mawili baada ya kuingia akitikea benchi na lingine, kinda Jonathan Ikone wakati la Real lilifungwa ma Marcelo kwa penalti kipindi cha kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amad focused on doing his best for United
-
The forward is optimistic for the future, as part of a young core of Reds
who are determined to turn fortunes around.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment