Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka mchezaji wa Celtic katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mjini Dublin. Barcelona ilishinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Arda Turan, Munir na Efe Ambrose aliyejifunga wakati la Celtic lilifungwa na Leigh Griffiths PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Helping out at Christmas
-
Diogo Dalot supported the important work of homeless charity Lifeshare over
the festive break.
39 minutes ago
0 comments:
Post a Comment