
Sunday, July 31, 2016

Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ameendelea kuwa mchezaji muhimu kwa klabu yake, KRC Gen...
UONGOZI SIMBA WAKUBALI MABADILIKO, AVEVA 'ATOKA KWA MSAADA' UKUMBINI
Sunday, July 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Simba SC, Evans Elieza Aveva leo ameondoka anasindikizwa na 'mabaunsa' ukumbi wa Bwalo la...
BARCELONA 3-1 CELTIC
Sunday, July 31, 2016
BAYERN MUNICH 4-1 INTER MILAN
Sunday, July 31, 2016
LIVERPOOL 2-0 AC MILAN
Sunday, July 31, 2016
PSG 4-0 LEICESTER CITY
Sunday, July 31, 2016
MAN UNITED 5-2 GALATASARAY
Sunday, July 31, 2016
REAL MADRID 3-2 CHELSEA
Sunday, July 31, 2016
ORIGI, FIRMINO WOTE WAFUNGA LIVERPOOL IKIIFUMUA 2-0 AC MILAN MAREKANI
Sunday, July 31, 2016
Divock Origi akiifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya AC Milan katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kiataifa Uw...
BAYERN MUNICH YAIFUMUA 4-1 INTER MILAN, GREEN APIGA HAT TRICK
Sunday, July 31, 2016
Winga Julian Green (kushoto) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia hat-trick Bayern Munich katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Inter Milan ...
AZAM FC YAMALIZA KWA USHINDI ZIARA YA KAMBI ZANZIBAR
Sunday, July 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR AZAM FC imemaliza kambi ya Zanzibar kwa kuichapa timu ya Taifa ya Jang’ombe bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki ...
SHANGWE ZA SIMBA KUMNG’OA ZAMALEK 2003, DEWJI ALIHUTUBIA PEMBENI YA MZEE MWINYI
Sunday, July 31, 2016
Mdhamini wa Simba SC, Mohamed Dewji akihutubia maelfu ya wanachama na wapenzi wa klabu hiyo Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam m...
SIMBA WASIKURUPUKE, WAITAFAKARI KWA MAPANA MAREFU OFA YA DEWJI
Sunday, July 31, 2016
SIMBA SC inatarajiwa kufanya Mkutano wake Mkuu wa mwaka leo katika Bwalo la Maofisa wa Jeshi la Polisi, Oysteraby, Dar es Salaam. Na katik...
REAL MADRID YAICHAPA CHELSEA 3-2 KWA MBINDE MAREKANI
Sunday, July 31, 2016
Marcelo akifurahi baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa ...
IBRA CADABRA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MAN UNITED YA MOURINHO IKIUA 5-2
Sunday, July 31, 2016
Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akiifungia bao la kwanza Manchester United kiakrobatiki katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Galatasaray mjini ...
Saturday, July 30, 2016
BARCELONA YITANDIKA 3- 1 CELTIC KIRFIKI
Saturday, July 30, 2016
Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka mchezaji wa Celtic katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mjini Dublin. Barcelona i...
NINI DIDA ALIKUWA ANAMUAMBIA MANYIKA HAPA?
Saturday, July 30, 2016
Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' (kushoto) akizungumza na kipa wa zamani wa timu hiyo, Manyika Peter jana Uwanja wa Kaunda, Jang...
SERENGETI BOYS, MADAGASCAR ZATOA SARE YA BILA MABAO ANTANANARIVO
Saturday, July 30, 2016
Vikosi vya timu za vijana chini ya umri wa miaka 17 vya Tanzania (juu) na Madagascar (chini) vilivyomenyana katika mchezo wa kirafiki leo...
MKWASA ASITISHA KAMBI TAIFA STARS BAADA YA KLABU KUOMBA
Saturday, July 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KUTOKANA na maombi ya klabu nyingi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutaka kuandaa wachezaji kwa ajil...
MAKOCHA WA TANZANIA WAZIDI KUPAA KITAALUMA
Saturday, July 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAKOCHA 20 wa Tanzania wanaofanya kozi ya Leseni A kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), wame...
SERENGETI BOYS YAJIPIMA KWA MADAGASCAR LEO
Saturday, July 30, 2016
TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa chini ya miaka 17 ya Madagascar leo Jumamosi Julai 30, 2016 itacheza mchezo wa kirafiki wa kimatai...
WINGA TELEZA LA MEDEAMA 'LILIVYOANGUKA' MIAKA MIWILI CHAMAZI
Saturday, July 30, 2016
Winga wa Medeama FC ya Ghana, Enock Atta Agyei akisaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na Azam FC juzi mjini Sekondi-Takoradi, Ghana ba...
KASEKE AANZA MAZOEZI YANGA SC IKIJIFUA JANGWANI MARA YA KWANZA CHINI YA MANJI
Saturday, July 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Deus David Kaseke jana amefanya mazoezi na Yanga baada ya kukosekana kwa wiki tatu kutokana na mau...
SIMBA YA OMOG YAENDELEZA WIMBI LA USHINI DHIDI YA ‘VITIMU’ VYA MORO
Saturday, July 30, 2016
MABINGWA wa zamani nchini, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika mechi za kujipima ngugvu baada ya jana kuifunga Moro Kids mabao 2-...
ATLETICO MADRID YAICHAPA 1-0 TOTTENHAM HOTSPUR
Saturday, July 30, 2016
Nacer Chadli wa Tottenham Hotspur akimiliki mpira mbele ya Stefan Savic wa Atletico Madrid katika mchezo wa Kombe la Kimataifa mjini Melb...
Friday, July 29, 2016
MAKONDA KUZINDUA AIRTEL RISING STARS KESHO KARUME
Friday, July 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kesho Jumamosi Julai 30, 2016 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kw...
TFF YAWATAKA MAREFA WA FIFA KUSAMBAZA ELIMU
Friday, July 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amewaagiza waamuzi wenye Beji kutoka S...
KATIBU MKUU TFF AUNGURMA UFUNGUZI WA AIRTEL RISING STARS
Friday, July 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine amesema kutimia kwa malengo ya Kampu...
TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA SENGA
Friday, July 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Juk...
DROGBA AWATUNGUA BONGE LA BAO ARSENAL MECHI YA KIRAFIKI
Friday, July 29, 2016
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba akishangilia baada ya kuifungia kombaini ya nyota wa Ligi ya Marekani, MLS All Stars bao...
SIMBA ‘YAMNYAKUA’ MWADINI ALI WA AZAM FC
Friday, July 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imefanikiwa kuwapata wachezaji wawili wa mkopo kutoka Azam FC, kipa Mwadini Ali na mshambuliaji ...
MAFUNDI WA MPIRA NA MAFUNDI BAISKELI PIA
Friday, July 29, 2016
Wachezaji wa Azam FC wakiendxesha mazoezi ya kuendesha baiskeli jana visiwani Zanzibar ambako wameweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya w...
AKINA SAMATTA WAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI EUROPA LEAGUE
Friday, July 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ‘Sama Goal’ usiku wa Alhamisi ameiongoza timu yake, KRC...
MO DEWJI ATANGAZA BONGE LA OFA SIMBA SC, ANATAKA KUZIPOTEZA KABISA AZAM NA YANGA
Friday, July 29, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MFANYABIASHARA Mohamed Gulam Dewji anataka kutumia bajeti ya Sh. Bilioni 5.5 kwa msimu kwa ajili ya Simb...
KIMEELEWEKA, JUVENTUS YAKUBALI KUMRUDISHA POGBA MAN UNITED
Friday, July 29, 2016
KIUNGO wa kimataifa wa Ufaransa, Paul Pogba atakuwa mchezaji wa Manchester United tena baada ya kufikia makubaliano ya dili la uhamisho wa ...
MAN CITY YAIPIGA BORUSSIA DORTMUND KWA PENALTI 6-5
Friday, July 29, 2016
Kipa wa Manchester City, Angus Gunn akipangua mkwaju wa penalti wa Mikel Merino na kuiwezesha timu yake kushinda kwa penalti 6-5 baada y...
Subscribe to:
Posts (Atom)