// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA WALIVYOONDOKA KWENDA UTURUKI ALFAJIRI YA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA WALIVYOONDOKA KWENDA UTURUKI ALFAJIRI YA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 12, 2016

    YANGA WALIVYOONDOKA KWENDA UTURUKI ALFAJIRI YA LEO

    Mshambuliaji Mzimbabwe wa Yanga, Donald Ngoma wakati wa safari ya kwenda Uturuki Alfajiri ya leo Uwanja wa Ndege wa KImataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, ambako timu yake inakwenda kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, MO Bejaia ya Algeria Juni 19
    Kiungo Thabani Kamusoko akiwa amepozi kwenye mabomba ya uzio wa kujipanga ndani ya JNIA

    Kipa Deo Munishi 'Dida' kama Kamusoko hakuwa mwenye furaha wakati wa kuondoka
    Kutoka kulia Geoffrey Mwashiuya, Oscar Joshua, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe
    Kutoka kulia Meneja Hafidh Saleh, kiungo Juma Mahadhi na beki Hassan Kessy

    Kutoka kulia Pato Ngonyani, Hassan Kessy, Juma Mahadhi, Simon Msuva na Matheo Anthony

    Kiungo Haruna Niyonzima akiteremka kwenye basi ndani ya JNIA
    Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' wakati wa kuondoka
    Beki Kevin Yondan alikuwa mwenye furaha kuliko wenzake wote wakati wa safari
    Beki Andrew Vincent 'Dante' wakati wa safari leo JNIA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA WALIVYOONDOKA KWENDA UTURUKI ALFAJIRI YA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top