Mandhari ya kuvutia ya hoteli ya Riu mjini Antalya inavyoonekana |
Wachezaji wa Yanga wakiwa ufukweni mwa Bahari ya Mediterranea iliyopo mbele ya hoteli hiyo |
Kutoka kulia Juma Mahadhi, Simon Msuva, Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' na Hassan Kessy |
Hassan Kessy akifurahia maisha kwa mwajiri mpya Yanga SC |
Hassan Kessy akiwa na Nahodha Cannavaro (kulia) ndani ya ndege wakati wa safari |
0 comments:
Post a Comment