Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya (kulia) akipambana na mchezaji mwenzake mazoezini leo Uwanja wa Taifa wa Taifa, Dar es Salaam timu hiyo ikijiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MO Bejaia ya Algeria Juni 19 mwaka huu mjini Bejaia, Algeria
Mshambuliaji Matheo Anthony akimiliki mpira katikati ya wenzake leo Uwanja wa Taifa
Beki mpya, Hassan Kessy aliyesajiliwa kutoka kwa mahasimu, Simba akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya kumiliki mpira
Beki mpya, Andrew Vincent 'Dante' akiwa tayari kwa maelekezo ya kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm (kulia)
Kutoka kulia ni Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro', Kevin Yondan na Haruna Niyonzima wakinyoosha viuno

Kulia ni mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma katika mazoezi ya kunyoosha misuli |
0 comments:
Post a Comment